Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Msukuma ALIPUKA tena, atishia KUMLOGA Waziri "Mnatengeneza JESHI la kwenda kubaka dada zetu kweli?" в хорошем качестве

Msukuma ALIPUKA tena, atishia KUMLOGA Waziri "Mnatengeneza JESHI la kwenda kubaka dada zetu kweli?" 1 год назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Msukuma ALIPUKA tena, atishia KUMLOGA Waziri "Mnatengeneza JESHI la kwenda kubaka dada zetu kweli?"

Mbunge wa Geita Vijijini (CCM) Joseph Musukuma akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024, jijini Dodoma leo. “Embu jifikilie mheshimiwa umenikamatia ng’ombe wangu 100, yani naona zinaenda sina uwezo wa kwenda polisi kuna bunduki, haya nina kosa unazichukuwa ng’ombe zangu unaziuza mimi ninarudi masikini halafu baada ya miezi sita unaanza kuniudumia na fedha za Tasaf, hiyo ni akili gani jamani.” “Na mheshimiwa waziri makosa mengine tengenezeni utaratibu wa kutuonya…unazoa ng’ombe zangu zote nirudi tu nyumbani nianze kusema maliasili, mtakufa vibaya lazima niwaloge, lazima tuambizane ukweli maana nikienda polisi utanishinda mahakamani sina ela ya kwenda mtalogwa mtakufa vibaya" aliongeza Musukuma

Comments