Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Watu 8 wameuawa kwenye mzozo wa kijamii Tana River в хорошем качестве

Watu 8 wameuawa kwenye mzozo wa kijamii Tana River 15 часов назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Watu 8 wameuawa kwenye mzozo wa kijamii Tana River

Hali ya taharuki inazidi kutanda katika kaunti ndogo ya Bangale, kaunti ya Tana River kufuatia kifo cha watu nane jana usiku kutokana na mzozo kati ya jamii. Mzozo huo katika maeneo ya KBC, Charidende, Nanigi, na Anole katika kaunti ndogo ya Bangale ulisababisha kuteketezwa kwa nyumba 20. Komanda wa polisi wa kaunti hiyo William Sadiq, amethibitisha tukio hilo, akisema kuwa wameanza shughui ya kutwaa silaha katika eneo hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook:   / kbcchannel1tv   Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Comments