Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб KMTC MASS(UTUHURUMIE/UTUKUFU) - KWAYA YA CHUO CHA MAFUNZO YA MATIBABU CHA EMBU, KENYA (KMTC) в хорошем качестве

KMTC MASS(UTUHURUMIE/UTUKUFU) - KWAYA YA CHUO CHA MAFUNZO YA MATIBABU CHA EMBU, KENYA (KMTC) 2 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



KMTC MASS(UTUHURUMIE/UTUKUFU) - KWAYA YA CHUO CHA MAFUNZO YA MATIBABU CHA EMBU, KENYA (KMTC)

Mtunzi: Ochieng Odongo Audio na Video: Mbegu Nyingine Production 0726468579/0787972360 Lyrics: UTUHURUMIE – KMTC MASS Bwana utuhurumie (ee Bwana) Bwana utuhurumie (Bwana) sisi wakosefu Krisru utuhurumie (ee Kristu) Kristu utuhurumie (kristu) sisi wakosefu. Bwana utuhurumie (ee Bwana) Bwana utuhurumie (Bwana) sisi wakosefu UTUKUFU – KMTC MASS Utukufu kwa Mungu juu na Amani duniani, kwao watu wa mapenzi wenye mapenzi mema x2. 1.Tunakusifu tunakuheshimu, tunakuabudu tunakutukuza. Twakushuku kwa ajili yako, ya utukufu wako utukufu mkuu. 2.Ee Bwana Mungu mfalme wa mbinguni, Mungu Baba mwenyezi Bwana Yesu Kristu. Mwana wa pekee ewe Bwana Mungu, mwana kondoo wa Mungu mwana wake Baba. 3.Mwenye kuondoa dhambi za dunia, pokea ombi letu ewe mwenye kuketi. Mwenye kuketi kuume kwake Baba, utuhurumie utusikilize. 4.Kwa kuwa ndiwe uliye peke yako, pekee yako mkuu ee Bwana Yesu Kristu. Pamoja na roho roho mtakatifu, katika utukufu wa Baba amina.

Comments