Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO в хорошем качестве

ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO 6 лет назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO

ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO Wabunge Zitto Kabwe na Cecil Mwambe leo Alhamisi Juni 28, 2018 wamemuomba Spika Job Ndugai kuitaka Kamati ya  Maadili, Kinga na Madaraka ya Bunge kumhoji na kumchukulia hatua Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG),  Dk Adelardus Kilangi kwa madai kuwa amekipotosha chombo hicho cha Dola. Zitto ambaye ni mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo) na Mwambe (Ndanda-Chadema) wametoa kauli hiyo leo bungeni mjini Dodoma wakati wa mjadala wa Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2018. Mwambe alipingana na maelezo yaliyotolewa na AG siku mbili zilizopita kuwa fedha za ushuru wa mauzo ya korosho nje ni za umma na Serikali ndio yenye mamlaka ya kupanga matumizi yake, akisema kuwa fedha hizo ni za wakulima. Mara baada Zitto kueleza hayo, Mwambe alimuunga mkono akitaka mwanasheria mkuu huyo wa Serikali achukuliwe hatua. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe    / uwazi   FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .

Comments