Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Zaidi ya Fahamu/Uko Mwenyewe - Henrick Mruma ft. Clara Minja (Official Live Video) в хорошем качестве

Zaidi ya Fahamu/Uko Mwenyewe - Henrick Mruma ft. Clara Minja (Official Live Video) 1 год назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Zaidi ya Fahamu/Uko Mwenyewe - Henrick Mruma ft. Clara Minja (Official Live Video)

#SeedOfFaith #ZaidiYaFahamu #UkoMwenyewe #ASeasonOfHarvest Mungu wetu ni wa ajabu na Anafanya maajabu. Pale ambapo fahamu, mawazo, akili na upeo wetu vinaishia ama kushindwa Anafanya yeye mwenyewe. Tafakari kule ambako unakwenda katika siku za usoni na fikiria kule ulikotoka utatambua kuwa ni Mungu pekee Aliyeweza na Anayeweza fanya mambo makuu kwenye maisha yako. Kuna mambo kwa akili ya kibinadamu unaona kabisa hayawezekani, hayana mpenyo lakini Mungu anafanya zaidi ya akili, ufahamu na hata upeo wako. Tambua kuwa hakuna wa mfano wake, Hakuna wa kulinganishwa na huyu Mungu atendaye mambo makubwa. Yuko mwenyewe na hakuna wa mfano wake. Song writer: Henrick Mruma Music arranger & Director: James Godfrey (JayG Production) Musicians: BAND OF CHRIST Back Vocals: SEED OF FAITH Sound System: Sound Solution International Sound Engineer: Balisidya Audio Capturing: Samuel Mboya (Chosen Records) Mixing and Mastering: Samuel Mboya (Chosen Records) Video Production: SP Visuals Lights: Nyakalo Lights Stage Design: Winfred Palmena Stage Decor: Gatty Events Venue: City Harvest Church Outfits: Dar Suit and Kuya Creations Special Appreciations: Caroline Henrick Mruma, Mr. & Mrs. Albert Mruma, Mr. & Mrs. Ronald Swai, Seed of Faith, Band of Christ, Dr. Twina Suzzette, Geofrey Rutta and Gideon Mlawa.

Comments