Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб KAZI IMEANZA, WAHALIFU WA MITANDAO KUKIONA CHA MOTO, WAZIRI MASAUNI ASAINI HILI, 'TEHAMA MIFUMO' в хорошем качестве

KAZI IMEANZA, WAHALIFU WA MITANDAO KUKIONA CHA MOTO, WAZIRI MASAUNI ASAINI HILI, 'TEHAMA MIFUMO' 1 месяц назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



KAZI IMEANZA, WAHALIFU WA MITANDAO KUKIONA CHA MOTO, WAZIRI MASAUNI ASAINI HILI, 'TEHAMA MIFUMO'

Serikali za Tanzania na Saudi Arabia zimeingia makubaliano ya kusaidiana katika kukabiliana na uhalifu ikiwemo uhalifu wa mitandaoni. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi. Hamad Masauni mara baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano huo kwa upande wa Tanzania, Jijini Riyadh nchini Saudi Arabia. Akibainisha maeneo mengine ya ushirikiano huo, Waziri Masauni amesema makubaliano hayo yatahusisha namna ya kukabiliana na majanga ya moto, ajali za barabarani na ajali za majini. Hati za makubalino hayo kwa upande wa Saudl Arabia zimetiwa saini na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Saudia, Mwanamfalme Abdul Aziz Bin Saud Al Saudi. Waziri Masauni yuko nchini Saudi Arabia kwa ziara ya kikazi.

Comments