Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Raudha Kids - Kwanini (Official Video) в хорошем качестве

Raudha Kids - Kwanini (Official Video) 2 месяца назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Raudha Kids - Kwanini (Official Video)

Hii ni nasheed nyengine kutoka kwa watoto wa Raudha Kids wanao simamiwa na Brother Masoud. Hii Nasheed inazungumzia mambo mabaya yanayo fanyika katika jamii zetu kama watoto wadogo kubakwa, Yatima kuteswa, dhulma katika Mirathi, walemavu kunyanyapaliwa, wagonjwa kubugudhiwa na kukoseshwa matibabu, Baba kunyanyasa familia (mke na watoto), watoto kufanyiwa liwatwi (kuliwatiwa) n.k Lakini baada ya yote hayo ni kwa wale wanao simama kidete kufuatilia wahalifu kufuatilia hawa wanayo yafanya haya mabaya tulio yataja hapo juu basi wao ndio hukamatwa na kuadhibiwa na wengine kupoteza Maisha. Ila tunamuomba Allah atusimamie 🤲 imeandikwa na Brother Masoud na kughaniwa na Raudha Kids. #nasheed #raudhakids #bm #brothermasoud #swahiliWorldwide #swahiliNasheed

Comments