Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб WAKILI KIBATALA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI ASEMA... в хорошем качестве

WAKILI KIBATALA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI ASEMA... 2 часа назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



WAKILI KIBATALA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI ASEMA...

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dar es Salaam, Kisutu imeshindwa kutoa uamuzi wa pingamizi la dhamana ya Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai kutokana na kutokuwepo mahakamani. Jacob, mkazi wa Msakuzi, mfanyabiashara na mwanasiasa anakabiliwa na kesi ya uchapishaji taarifa za uongo kwenye mitandao, kinyume cha Sheria ya Makosa ya Mtandao namba 14 ya mwaka 2015. Alipandishwa kizimbani mahakamani hapo Alhamisi, Septemba 19, 2024, na upande wa mashtaka pamoja na mambo mengine, uliiomba Mahakama izuie dhamana yake kwa madai ya usalama wake mshtakiwa, hoja zilizopingwa na jopo la mawakili wake likiongozwa na Peter Kibatala. Baada ya mvutano wa hoja za mawakili, Hakimu Mkazi Mfawidhi, Franco Kiswaga aliahirisha mpaka leo Jumatatu, Septemba 23, 2023 saa 5:00 asubuhi kwa ajili ya dhamana lakini Boni Yai hakufikishwa mahakamani. Hivyo Hakimu Kiswaga ameahirisha kesi hiyo mpaka Alhamisi, Septemba 26, 2024.

Comments