У нас вы можете посмотреть бесплатно DRC: Hali ya wasiwasi yarepotiwa katika miji ya Nyiragongo na Goma или скачать в максимальном доступном качестве, которое было загружено на ютуб. Для скачивания выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru
Hali ya wasiwasi inarepotiwa katika mji wa Goma, mji mkuu wa Kivu Kaskazini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) pamoja na wilaya ya Nyiragongo ambako yamejiri mapigano makali kati ya waasi wa M23 na majeshi ya serikali ikipelekea raia katika maeneo hayo kuwa na wasiwasi mkubwa. Ungana na mwandishi wetu akiongea na watu ambao vita imewakosesha makazi na amani... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.